New Music : Yamoto Band – BASI

New Music : Yamoto Band – BASI

  Brand new music from Yamota band – Basi            

Share
Read more
NEW MUSIC : YAMOTO BAND – KICHECHE

NEW MUSIC : YAMOTO BAND – KICHECHE

  Brand new song from Yamoto Band; Kicheche.         Click on the link below to listen to the song:  

Share
Read more
New Music : Yamoto Band Ft. Lij Michael – Konjo

New Music : Yamoto Band Ft. Lij Michael – Konjo

  Brand new music from Yamoto Band featuring Lij Michael. The name of the song is Konjo. Click on the link below to listen to the song:      

Share
Read more
Mkubwa fella azitambulisha Nyumba alizowajengea Yamoto Band

Mkubwa fella azitambulisha Nyumba alizowajengea Yamoto Band

  Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe na Meneja wa Wasanii Saidi fella maarufu kwa jina la Mkubwa Fella jana amezionyesha nyumba 4 alizowajengea Yamoto Band, Akizungumza na waandishi wa habari Ijumaa hii akiwa Mbande Kisewe, Chamazi jijini Dar es salaam, Fella amesema ameamua kuonyesha nyumba hizo baada ya

Share
Read more
New Music : Yamoto Band -Mijudo

New Music : Yamoto Band -Mijudo

  A brand new song from Yamoto band is here. The name of the song is Mijudo; Click below to listen to it            

Share
Read more
NEW MUSIC : MH TEMBA FEAT JOKATE & YAMOTO BAND – FUNDI ( BONGO FLAVA)

NEW MUSIC : MH TEMBA FEAT JOKATE & YAMOTO BAND – FUNDI ( BONGO FLAVA)

  We have received a new song today. The name of the song is Fundi from Mh.Temba Feat Jokate & Yamoto Band. Click on the link below to listen to the song:          

Share
Read more
Yamoto Band wafanya Video ya Mama Tanga

Yamoto Band wafanya Video ya Mama Tanga

  Yamoto Band waliweka Kambi ya Siku 3 katika jiji la Tanga wakiwa wanashoot video ya wimbo wao Mpya ambao unaitwa MAMA na Director Pablo, Video ya wimbo huo inatarajiwa kuachiwa mapema wiki ijayo. Kiongozi wa Yamoto Band Aslay amesema kuwa wameamua kwenda kufanya Video hiyo Tanga ili Kubadirisha Mazingira

Share
Read more
YAMOTO BAND KUKWEA PIPA TAREHE 17 KUELEKEA UK

YAMOTO BAND KUKWEA PIPA TAREHE 17 KUELEKEA UK

  Kundi la Muziki wa Kizazi kipya Yamoto Band wanatarajia kuanza safari yao ya kwenda UK kufanya Show tarehe 17 mwezi huu na show itapigwa Tarehe 21 ndani ya Royal Regency. Mkurugezi wa Kundi hilo Mkubwa Fella kwanza alianza kwa kutoa shukran zake kwa Mwenyezi Mungu, Mashabiki, Wadu na vyombo

Share
Read more