Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge –  July 9th, 2015

Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge – July 9th, 2015

  Mheshimiwa Spika; Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kuishuhudia siku hii adhimu katika historia ya Bunge letu na nchi yetu. Hatimaye siku ya kuvunja Bunge la Kumi imewadia ili kuwezesha hatua husika za mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015

Share
Read more
Tanzania’s President Kikwete Dropped 12 in Major District Commissioners Shuffle

Tanzania’s President Kikwete Dropped 12 in Major District Commissioners Shuffle

    PRESIDENT Jakaya Kikwete has effected changes in the lineup of District Commissioners (DCs) – relocating 64, dropping 12 and appointing 27 others. Announcing the latest changes, the Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, said 42 DCs will remain in their previous duty stations. He said the changes have taken

Share
Read more
Hotuba Ya Raisi Kikwete kwa Wazee wa Dar, December 22nd, 2014

Hotuba Ya Raisi Kikwete kwa Wazee wa Dar, December 22nd, 2014

  Kikwete: Naendelea kuimarika kila siku japo sipo fit kabisa. Leo nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa, umeenda vizuri ukiacha maeneo machache. Ni uthibibitisho wa kuendelea na kukomaa kwa demokrasia na natoa pongezi kwa walioshinda na wakae chini kupanga mikakati ya kuongoza maeneo yao. Katika taarifa ya waziri Ghasia alielezea

Share
Read more
Happy Birthday Tanzania: Why we must keep the Union

Happy Birthday Tanzania: Why we must keep the Union

  Tanzania is celebrating its 50th anniversary today following the merger half a century ago of Tanganyika and Zanzibar.  It does so with overwhelming support and calls for the Union to be upheld and improved to ensure its survival and prosperity. Nationally, the Golden Jubilee is being commemorated at the

Share
Read more
HELLO HELLO TANZANIA – MIAKA 50 YA MUUNGANO

HELLO HELLO TANZANIA – MIAKA 50 YA MUUNGANO

  Leo Nchi yetu imesheherekea Miaka 50 ya Muungano. Raisi na Viongozi wengi walihudhuria sherehe hizo na kushangamswa na wasanii walioimba wimbo wa Hello Hello Tanzania.. Mungu Ibariki Tanzania        

Share
Read more
How Dar saved Kenya from Al-Shabaab hit

How Dar saved Kenya from Al-Shabaab hit

  Tanzania helped foil terrorist attacks intended to disrupt last year’s General Election in Kenya and President Uhuru Kenyatta’s swearing-in ceremony. In an exclusive interview with the Nation Media Group in Dar es Salaam, President Jakaya Kikwete revealed, however, that the terrorists were arrested, scuttling the attack plans. “I remember

Share
Read more
RIDHIWANI ASHINDA KURA ZA MAONI CCM KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

RIDHIWANI ASHINDA KURA ZA MAONI CCM KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

  Matokeo: Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321, Ilikuwa hivi:_ 1.Ridhiwani Kikwete kura 758 2.Shaban Iman Madega kura 335 3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206 4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12 Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316 Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa

Share
Read more
Rais Kikwete Adai majangili wanajulikana, (swali ni kwanini hawakamatwi?)

Rais Kikwete Adai majangili wanajulikana, (swali ni kwanini hawakamatwi?)

  Rais Jakaya Kikwete, amesema mtandao wa majangili unajulikana na jitihada za serikali zimefanikiwa kukamata vigogo 40 walio kwenye mtandao mkubwa wa biashara ya nyara hizo za serikali. Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya BBC , jana asubuhi alisema watuhumiwa hao wamebainika kuwa wanajihusisha na mtandao kwenye ukanda wa Kaskazini

Share
Read more
Urais 2015: Lowassa Kumvaa Kikwete kikao cha NEC

Urais 2015: Lowassa Kumvaa Kikwete kikao cha NEC

  WAKATI wanasiasa waandamizi wanaotajwa kusaka urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiitwa kuhojiwa mjini Dodoma kuhusiana na ukiukwaji wa maadili, mmoja miongoni mwao anatajwa kutishia kukigawa na kumkabili mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, ambaye anadai amemsaliti katika alichokiita ahadi ya kumuachia nafasi yake 2015. Taarifa za

Share
Read more
Tanzania’s Blood Ivory: “This is madness now”

Tanzania’s Blood Ivory: “This is madness now”

  “At independence Tanzania had 350,000 elephants… in 1987 there were only 55,000 elephants left.” That’s the dire message from the president of Tanzania, who spoke to CNN’s Christiane Amanpour about his country’s battle against wildlife poaching. President Jakaya Kikwete joined Amanpour in London, where heads of state are meeting

Share
Read more