Mafanikio ya Cindy Rulz tangu aachie audio ya ‘Lets Wait’ na video ya ‘Utanifany​a Nighairi’

Mafanikio ya Cindy Rulz tangu aachie audio ya ‘Lets Wait’ na video ya ‘Utanifany​a Nighairi’

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Rapper Cindy Rulz anazidi kufanya vizuri Worldwide. Muziki wake unazidi kusambaa katika wigo wa Dunia sasa, sio Afrika tu. Uwezo wake wa kuchana kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili unamnyooshea wigo huo pia. Ni juzi kati tuu mrembo huyo aliyebarikiwa kipaji cha kurap vizuri

Share
Read more