SIKILIZA INDYSTREET2.0 KILA MONDAY & JUMATANO ZA WIKI NDANI YA RADIO MBAO MAJIRA YA SAA 3 USIKU (EAT)

SIKILIZA INDYSTREET2.0 KILA MONDAY & JUMATANO ZA WIKI NDANI YA RADIO MBAO MAJIRA YA SAA 3 USIKU (EAT)

#IndyStreet2.0_EP3_Covers_01

 

“I am ur Host with the Most, Jayjoe – j.a.y.j.o.e aka MangiThe3rd aka TheGateKeeper! & this is iNdyStreet2.0 HipHopAddition…”


√• That is my signature intro/opening for the show & i freaking like it because it says all i need to + Ladies love it too… Lol!.

• The Title *iNdyStreet* was given to me by cool friend of mine anaiwa Omary aka Beberu86 before i even know what i was gonna use it for & that was like 4 years ago (2014) i kind remember it vividly kabisaaa…

• indy inawakilisha industry & street inawakilisha Kitaa kama kawa, kwa maana jina limeunganishwa kutoka kwenye hivyo vitu viwili hapo ndio likapatikana Neno – indystreet.

• Nilipata Bahati ya kifanya kazi kwenye Radio station moja hapa Tanzania ambayo inajulikana kama EastAfrikaRadio miaka ya 2000/2001 nikiwa ni Mtangazaji wa kipindi cha asubuhi kilichitwa *GetUpStandUp!* ambacho kilikua kila siku ya wiki saa 12 asubuhi mpaka saa 3 asubuhi…

√• Miaka 10+ baadae ndio nimekuja kuanzisha hii Podcast ambayo ina every element ya nafsi yangu…

• Nakusihi ungana nami kila Jumatatu ya wiki kuanzia saa 3 usiku hapa hapa #RadioMbao ili kufahamiana zaidi na pia kujua ambacho nitakua nakuandalia kila wiki.

Π• Hii Radio show iNdyStreet2.0 inamzunguko wa dakika 60 yaani saa nzima na pia kwa ushirikiano na Team yangu tumeweza kuigawanya katika vipengele vikuu vi4 ambavyo vitaweza kukuburudisha, elimisha & kukufahamisha kwa style ya pekee kabisa…


• #TripleThreats
Katika kipengele hiki, unapata kusikiliza Ngoma 3 kutoka kwa Msanii mmoko ambaye pia yeye mwenye atazifanyia introduction ya hizo ngoma + the inspiration & deeper meaning of each track… (duration – 15)

• #xclusvcutz
This is where we do all the reviews za Albums / Artists & New singles & Special release on every week… (Duration 15)

• #LostTapes
Kwenye kipengele hiki hapa huwa tunagonga Ngoma kadhaa za hip hop ambazo zilisumbua sana kipindi cha nyuma lakini kwa sasa hazipigwi tena kwenye Radio… Tunadhani hii ni njia nzuri ya watu kuanzisha mazunguzo (Breaking the ice) hata kama hamfahamiani ila mnaweza mkapata cha kuongelea…

• #scrtchdat
Ndani ya kipengele hiki huwa tunaalika djs mbali-mbali wa hip hop kutoka sehemu tofauti duniani & producers feels like this is the easy in/out after all those infotainment segments za awali… Kwamba hii itakuja kumpoza msikilizaji kwa mixing kali za dj tofauti na wenye styles za kipekeee….

• #GivingBack
Kila episode inaandaliwa kwa kujali THEMES & SEASONS tofauti za mwaka Producers wako makini sana katika kuzingatia hilo katika uzalishaji wa kipindi na bila kutoka kwenye Misingi ya kipindi husika…

√• Kwa Mfano kwenye Episode 3 ya iNdyStreet2.0 – HipHopAddition ambayo ndio inaruka siku ya Jumatatu saa 3 usiku, utaweza kuona kwamba imezalishwa kwa kujali *Women’s March* na kwa kujali hilo Producers wameona ni Bora kuanza kuikumbusha jamii kwa kufanya kipindi maalumu ambacho kimeshirikisha *Wadada* kwa *asilimia 67%* …

å Hili limefanyika kwa msaada mkubwa sana wa Coordinator @imax255 aka E-breezy & Music Supervisor @ksonraprhymson & napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana katika kufanikisha kila episode ya kila wiki kwa sababu bila nguvu zao sidhani kama tungeweza kufika hapa hii leo..

Π• _i am ur Host with the most Jayjoe na nachukua Fursa hii kuualika kusikiliza iNdyStreet2.0 – HipHopAddition kila Jumatatu saa 3 usiku masaa ya afrika mashariki hapa hapa #RadioMbao._


Thanks & Karibu!


#HakunaMatata
#iNdyStreet2.0
#triplethreats
#xclusvcutz
#LostTapes
#scrtchdat

@radiombao
@imax255
@jayjoeshoo
@ksonraprhymson

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *