Rais Magufuli ampigia simu Neema Mwita na kumtumia watu

Rais Magufuli ampigia simu Neema Mwita na kumtumia watu

radio mbao logo2

Neema Mwita Wambura amepata msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli kutokana na majeraha yanayomtesa baada ya kuunguzwa na moto kwa Makusudi.

Mwaka 2015 Neema anadai alimwagiwa maji ya moto na mume wake aitwaye Haruni Juma aliyekasirishwa na kitendo cha Neema kuchuma mahindi mabichi na kuyapika bila kibali cha mumewe.

 

 

 

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *