New Music : Nikki Mbishi – I’m Sorry JK

New Music : Nikki Mbishi – I’m Sorry JK

Nikki Mbishi - I'm Sorry JK

 

IamSorryJK ni kazi ya kwanza kutoka kwa Nikkimbishi kwa mwaka 2017. Kama nilivyoahidi mwaka huu kwa majaaliwa yake mtoa pumzi(M/Mungu),nitaachia wimbo huu kuzifariji nafsi ambazo ni wahanga wa hali ya nchi yetu kulingana na UTAWALA. Sina maana ya kusifu na kutukuza mema ya uongozi uliopita na kuutia fedheha uongozi uliopo lakini kila aliye SHAHIDI wa hali halisi na aupokee wimbo huu kwa mikono miwili. Wako katika uwajibikaji.

Nicas J Machuche alias @nikkimbishi

 

 

Bonyeza chini kusikiliza I’m Sorry:

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *