New Music : Harmorapa ft. Cpwaa & Ronei – NUNDU

New Music : Harmorapa ft. Cpwaa & Ronei – NUNDU

 
Habari Ndugu,
 
Naomba tuungane mkono kwa pamoja baada ya maneno mengi kuongeleka kuwa mimi ni msanii wa kiki. Ila sio kweli kuhusu hili na kuthibitisha  nimeamua niachie wimbo mpya unaoenda kwa jina la “NUNDU” kama zawadi kwa watanziania na mashabiki wangu wote kiujumla. NUNDU ni wimbo wangu wa tatu officially kuachiwa, na nimemshirikisha mkongwe wa muziki nchini CPWAA pamoja na RONEI ambaye ni upcoming hatari kutoka SGS SABUKA MUSIC, Record Label inayomilikiwa na IRENE SABUKA. Tutashukuru kwa support yako ya muziki mzuri.
 
Wako Mtiifu,  
Harmorapa.
 
 
Song: Nundu
 
Artist: Harmorapa ft. Cpwaa & Ronei
 
Producer: King Luffa
 
Recorded, Mixed & Mastered: P-Funk Majani
 
Published: SGS Sabuka Music 2017
 
For More Info/Contact: 
 
Management:
 0767600444 & 0769258825
Digital & Online Management: 
0785653030 
 
 
Twitter: Hamorappa
 
Instagram: Harmorapatz1
 
Youtube: Harmorapa
 

 

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *