Dili hili la bure: Pata Microsoft Office (online) bure buleshi

Dili hili la bure: Pata Microsoft Office (online) bure buleshi

Dili hili la bure: Pata Microsoft Office (online) bure buleshi

Sie hapa Radio Mbao tunaamini katika falsafa ya SHARING IS CARING, na ndo maana tunajibiisha ku-shea nanyi habari mbalimbali. Na hapa tunawaletea habari za dili kutoka Microsoft, ambapo unaweza kutumia applications kadhaa za Microsoft Office bure buleshi (online tu). Ku-download, bonyeza HAPA

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *