Habari
Is America facing a beer crisis?

Is America facing a beer crisis?

As it’s done for nearly a quarter of a century, Anheuser-Busch (BUD)  will once again roll out splashy commercials during the Super Bowl to get people talking about Budweiser and, hopefully, drinking it. But a new report suggests that young adults—the prime demographic for these advertisements—will need a lot of

Share
Read more
Dr. Slaa amesema viongozi wametafuna hela za Bank ya Dunia

Dr. Slaa amesema viongozi wametafuna hela za Bank ya Dunia

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amedai kuwa  baadhi ya viongozi wa Serikali wamegawana na kutafuna fedha zilitolewa na Benki ya Dunia, ili kugharimia miradi ya kuchimba visima 10  vya maji katika kila wilaya nchini. Dk Slaa alitoa tuhuma hizo juzi jioni, alipokuwa akihutibia mkutano wa hadhara katika Uwanja

Share
Read more
Malumbano CCM: Kiyabo amjibu Makonda

Malumbano CCM: Kiyabo amjibu Makonda

SIKU moja baada ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kutoa tamko la kumtaka aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kuacha kukigawa chama kwa madai kuwa hana sifa kuwa rais, mambo mazito yamezidi kuibuka huku ikitolewa orodha ya wanachama wa CCM wakiwemo mawaziri, wabunge na makada maarufu wanaodaiwa kukisaliti chama hicho.

Share
Read more
President Mugabe Voted AU Deputy Chair

President Mugabe Voted AU Deputy Chair

President Mugabe was yesterday elected First Deputy Chair of the African Union, rendering futile a decision by the European Union not to invite him to a summit of the two blocs slated for Belgium in April.The AU Executive Council was firm in that Europe should not be allowed to dictate

Share
Read more
Mtangazaji wa Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago afariki Dunia

Mtangazaji wa Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago afariki Dunia

Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi ya Kenneth Kidago Lyanga inafanywa na familia yake. Radio Mbao inatoa pole kwa familia ya Kenneth Kidago and Mungu ailaze Roho ya

Share
Read more
Tanzania Becoming the New Chinese Province in Africa

Tanzania Becoming the New Chinese Province in Africa

Tanzania’s strong relations with China go back to the era of Mwalimu Julius Nyerere and Mao Tse Tung. The Chinese ‘Dragon’ is now set to invest billions of dollars in the iron and coal mining sectors of the country that will last for more than a century Isaac Haule (65),

Share
Read more
New Video : Nameless – African Beauty ( KENYAN MUSIC – RADIO MBAO)

New Video : Nameless – African Beauty ( KENYAN MUSIC – RADIO MBAO)

  Kenyan Top Artist, Nameless has released his new video called African Beauty. The video is out and we can say also the song is hot. Check the video for yourself below:        

Share
Read more
SERIKALI YA TANZANIA YAJIBU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA GAZETI LA SERIKALI LA RWANDA

SERIKALI YA TANZANIA YAJIBU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA GAZETI LA SERIKALI LA RWANDA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ubalozi wa Tanzania katika Rwanda usiku wa jana, Jumatano, Januari 29, 2014 ulitoa taarifa kwa vyombo vya habari ikikanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwa mwishoni mwa wiki na gazeti la Serikali ya Rwanda la News of Rwanda. Ifuatayo ni taarifa kamili iliyotolewa na

Share
Read more
GAVANA NDULA ANADAIWA KUNYANYASA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI

GAVANA NDULA ANADAIWA KUNYANYASA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI

ALIYEKUWA mfanyakazi wa ndani wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu, amedai kutolipwa haki zake na mwajiri wake huyo baada ya kukatisha mkataba wa kazi nchini Marekani. Pia amedai bosi wake huyo ambaye wakati huo alikuwa akifanya kazi Benki ya Dunia, Marekani, ameendelea kuishikilia hati yake ya kusafiria

Share
Read more
WANAWAKE WANAHONGWA MPAKA TSH MILION 5 ILI WAFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE TANZANIA

WANAWAKE WANAHONGWA MPAKA TSH MILION 5 ILI WAFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE TANZANIA

Msanii anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa ya pesa. Akiongea  na gazeti la Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza.“Wanaume siku hizi

Share
Read more