Habari
IGP MANGU AFANYA MABADILIKO KWA MAKAMANDA KWENYE BAADHI YA MIKOA

IGP MANGU AFANYA MABADILIKO KWA MAKAMANDA KWENYE BAADHI YA MIKOA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi. Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na

Share
Read more
Ugonjwa wa saratani sasa tishio Tanzania

Ugonjwa wa saratani sasa tishio Tanzania

UGONJWA wa saratani umezidi kuongezeka kwa kasi nchini kila mwaka ambapo wagonjwa wapya wa saratani wanaogundulika ni 44,000 na kati ya hao wanaofariki 35,000. Takwimu hizo zimetolewa na Serikali Dar es Salaam jana wakati wa maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani. Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo Waziri wa Afya na

Share
Read more
Walimu wanaidai serikali sh bilioni 61

Walimu wanaidai serikali sh bilioni 61

SERIKALI imekiri kudaiwa na walimu nchini, sh. bilioni 61.0 zikiwa ni madeni ya malimbikizo mbalimbali zikiwemo fedha za likizo na na matibabu. Hayo yalisemwa juzi na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, alipokuwa akizungumza na uongozi wa Mkoa wa Lindi na wanafunzi wa Shule ya msingi

Share
Read more
450,000 poor Kenyans to receive cash every month

450,000 poor Kenyans to receive cash every month

  Nairobi. Nearly half a million poor Kenyans are set to benefit from a Ksh12 billion welfare programme meant to provide social protection to special groups. Some 454,200 Kenyans will benefit from the transfer programme under which each beneficiary receives a Ksh2,000 monthly stipend. President Kenyatta will today officially launch the

Share
Read more
Kagame azidi kuichokonoa Tanzania; Sasa amgeukia Membe…

Kagame azidi kuichokonoa Tanzania; Sasa amgeukia Membe…

GAZETI la The New Times Rwanda ambalo linatajwa kuwa mshirika wa karibu wa Serikali ya Rais Paul Kagame, nalo limeingia kwenye propaganda za kuwachafua baadhi ya viongozi wa Tanzania. Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi hiyo, vimekuwa vikitumika kumchafua Rais Jakaya Kikwete, ambapo wiki iliyopita gazeti la News of Rwanda liliandika

Share
Read more
WIZARA YA FEDHA TANGAZO KWA UMMA

WIZARA YA FEDHA TANGAZO KWA UMMA

Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya magazeti yamekuwa yakitoa taarifa za upotoshaji juu ya suala la kuongezeka kwa malipo ya pensheni kwa Waheshimiwa Wabunge.  Magazeti hayo yanadai kwamba Mheshimiwa Waziri wa Fedha amethibitisha ongezeko hili.  Taarifa hizo ziliendelea kudai kwamba Waheshimiwa Wabunge watakapostaafu watastahili kulipwa shilingi 160 milioni kila

Share
Read more
CRDB YAMKABIDHI RAIS DR. JAKAYA KIKWETE HUNDI YA MILIONI 100 KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO

CRDB YAMKABIDHI RAIS DR. JAKAYA KIKWETE HUNDI YA MILIONI 100 KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Februari 4, 2014, amepokea hundi ya Sh. milioni 100 kutoka Benki ya CRDB kusaidia wahanga wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita. Rais Kikwete amekabidhiwa hundi hiyo na

Share
Read more
Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil

Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil

KATIKA mpango mwingine wa kutambua thamani ya wateja, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imezindua kampeni ya kufaidisha wateja ambapo baadhi ya wateja watashinda safari iliyolipiwa kwenda nchini Brazil, hii ikiwa ni moja kati ya zawadi nyingi nyingine zitakazoshindaniwa. Kampeni hii imeanza tayari na itaendelea kwa muda wa kipindi

Share
Read more
Microsoft’s new CEO is Satya Nadella

Microsoft’s new CEO is Satya Nadella

  It’s official: Microsoft’s search for a new CEO is over. Following recent speculations, the software giant is indeed appointing Satya Nadella as its new CEO to replace Steve Ballmer. The 46-year-old Nadella will take over immediately, allowing Ballmer to retire early. Nadella had been one of a number of candidates that Microsoft

Share
Read more
Siku ya Wapendanao ndani ya nyambizi?

Siku ya Wapendanao ndani ya nyambizi?

Kampuni moja ya safari za anasa imezindua ‘package’ maalum ya safari kwa ajili Sikukuu ya Wapendanao (Valentine’s Day) ambapo wateja ‘watakula raha’ ndani ya nyambizi (submarine) itakayosafiri mita 200 kutoka usawa wa bahari. Hata hivyo ofa hiyo si kwa kila mtu, kwani gharama yake ni pauni za Kiingereza 175,000 (takriban

Share
Read more