Burudani na Michezo
DJ Kvelli Presents  Party Mash-Ups Mix Vol 1

DJ Kvelli Presents Party Mash-Ups Mix Vol 1

  Mmoja wa ma-djs wa Radio Mbao, Deejay Kvelli amedondosha mix  nyingine kwa washabiki wa Radio Mbao na wake kwa ujumla.  Mix hii ni ya kujirusha na kukufanya uwe kwenye “Furahii day” mood hata kama ni katikati ya wiki. Bonyeza  links mojawapo hapo chini kusikiliza hiyo Mix;      

Share
Read more
BABY BOY ARUDI NA ‘FUNGA MKANDA’ CHINI YA FLEXIBLE MUSIC

BABY BOY ARUDI NA ‘FUNGA MKANDA’ CHINI YA FLEXIBLE MUSIC

  Moja kati ya msanii anayefanya muziki wa bongo fleva Edson Wilison a.k.a Baby boy ambaye alipotea kwenye game ya muziki,sasa amerudi kwa kishindo kikali. Baby boy ambaye alipotea kwa kipindi kirefu, zaidi ya miaka miwili kwenye muziki sasa amerudi na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Funga Mkanda

Share
Read more
Don’t Sing for Money – Koffi

Don’t Sing for Money – Koffi

  Congolese rhumba star Koffi Olomide has urged young musicians to have a passion for music and not sing for money or fame. The “Loi” singer who was in the country for the wedding of President Mugabe’s daughter Bona and Simba Chikore said good music comes from the heart and

Share
Read more
Cannibal ft Chidi Benz – Nishakupenda ( East Africa Music)

Cannibal ft Chidi Benz – Nishakupenda ( East Africa Music)

As promised huu ni ujio mpya wa Cannibal akiwa anaangalia kwa ukaribu mashabiki wake wa Tanzania na wapenzi wa muziki wa mapenzi ambao amekaa sana kwa muda bila kuufanya,hii hapa joint mpya,inaitwa “nishakupenda”,powered bywww.fresh120media.com, Cannibal ft Chidi Benz For Interviews and inquiries; +255787276352 Sikiliza/Download hapa; http://www.hulkshare.com/dl/dwyjnmtdpmv4 Song Credits Song; Nishakupenda Artist(s); Cannibal ft Chidi Benz

Share
Read more
AFANDE SELE AACHIA MWENDO KASI ‘chini ya Flexible Music ( Bongo flava)

AFANDE SELE AACHIA MWENDO KASI ‘chini ya Flexible Music ( Bongo flava)

  Moja kati ya studio ambayo inafanya vizuri katika utayarishaji wa muziki jijini dar es salaam sinza lego Flexible music imekuja tena na Mfalme wa Rhymes Afande Sele na ngoma yake mpya inayoitwa Mwendo kasi aliyoifanya katika studio hizo. Mwendo kasi ni ngoma ambayo inaelezea ajali mbali mbali zinazotokea barabarani

Share
Read more
Introducing Mikeythaemcee – Tanzanian musician

Introducing Mikeythaemcee – Tanzanian musician

Mikeythaemcee is a Tanzanian musician. He recently released his mix-tape a month ago. It consists of five songs. Look at Me Now, Who Runs The Show Ft Dunga, Living My Life Prod( Innocent Mujwahuki), One Day and Intro. His mix-tape is called Mikeythaemcee. I have attached his first single called Who Runs

Share
Read more
Timu ‘bomu’ kuliko zote? Yapata ushindi wa kwanza baada ya mechi 171

Timu ‘bomu’ kuliko zote? Yapata ushindi wa kwanza baada ya mechi 171

Mara ya mwisho walishinda mwezi Septemba mwaka 2007, takriban miaka sita unusu iliyopita. Baada ya mechi 171, ambapo  walipoteza 169 kati ya hizo, ni mashabiki wachache wa timu ya soka ya Turnstall Town FC waliokuwa na kumbukumbu ya ushindi.  Ni kwa minajili hiyo basi, kipenga cha mwisho kilipopulizwa Jumamosi ya

Share
Read more
‘World-class’ Yaya Toure isn’t appreciated because he’s from Africa, says Nasri

‘World-class’ Yaya Toure isn’t appreciated because he’s from Africa, says Nasri

  The Manchester City playmaker believes the Ivorian’s nationality “counts against him”, lauding him as one of the world’s best, while he does not fear Chelsea’s title charge Samir Nasri has lavished praise on Manchester City team-mate Yaya Toure, but does not believe the Ivorian receives the recognition he deserves

Share
Read more
Nikki wa Pili asema ‘Weusi’ imemsimamisha kazi Lord Eyez

Nikki wa Pili asema ‘Weusi’ imemsimamisha kazi Lord Eyez

  Msemaji wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameiambia tovuti ya Times Fm kuwa rapper Lord Eyez amesimishwa kazi katika kampuni hiyo na kwamba kwa sasa sio ‘member’. “Kitu ambacho naweza kusema kutoka Weusi ni kwamba Lord Eyez tumemsimamisha kazi kikampuni.” Amesema Nikki wa Pili na kusisitiza kuwa hajafukuzwa

Share
Read more
ThrowBack Joint of the Week : Gangwe Mob – Mtoto wa geti Kali( Bongoflava)

ThrowBack Joint of the Week : Gangwe Mob – Mtoto wa geti Kali( Bongoflava)

  Gangwe Mobb is a Tanzanian hip hop group. They come from poor Temeke neighborhood in Dar es Salaam. It has two members: Inspector Haroun (real name Haroun Kahena) and Luteni Kalama (Karama Bakari). They have said that the inspiration for their name came from legendary hip-hop group Mobb Deep.

Share
Read more