WIZARA YA FEDHA TANGAZO KWA UMMA

WIZARA YA FEDHA TANGAZO KWA UMMA

Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya magazeti yamekuwa yakitoa taarifa za upotoshaji juu ya suala la kuongezeka kwa malipo ya pensheni kwa Waheshimiwa Wabunge.  Magazeti hayo yanadai kwamba Mheshimiwa Waziri wa Fedha amethibitisha ongezeko hili.  Taarifa hizo ziliendelea kudai kwamba Waheshimiwa Wabunge watakapostaafu watastahili kulipwa shilingi 160 milioni kila

Share
Read more
CRDB YAMKABIDHI RAIS DR. JAKAYA KIKWETE HUNDI YA MILIONI 100 KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO

CRDB YAMKABIDHI RAIS DR. JAKAYA KIKWETE HUNDI YA MILIONI 100 KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Februari 4, 2014, amepokea hundi ya Sh. milioni 100 kutoka Benki ya CRDB kusaidia wahanga wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita. Rais Kikwete amekabidhiwa hundi hiyo na

Share
Read more
Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil

Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil

KATIKA mpango mwingine wa kutambua thamani ya wateja, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imezindua kampeni ya kufaidisha wateja ambapo baadhi ya wateja watashinda safari iliyolipiwa kwenda nchini Brazil, hii ikiwa ni moja kati ya zawadi nyingi nyingine zitakazoshindaniwa. Kampeni hii imeanza tayari na itaendelea kwa muda wa kipindi

Share
Read more
Confident Putin pledges ‘hospitable’ Games

Confident Putin pledges ‘hospitable’ Games

  President Vladimir Putin on Tuesday pledged that Russia would prove a hospitable host of the Winter Olympic Games which open in three days in Sochi amid a litany of concerns about its suitability as a venue. Putin arrived in the Sochi region ahead of Friday’s opening ceremony in typically

Share
Read more
Facebook Turns 10 years Old today

Facebook Turns 10 years Old today

  Facebook on Tuesday celebrates 10 years since Mark Zuckerberg’s Harvard dorm room launch of the social network, a business now worth more than corporate centenarians General Motors and Ford Motor combined. Whiz kid-turned-CEO Zuckerberg’s social juggernaut, now the de facto water cooler gathering for 1.23 billion worldwide, commands the

Share
Read more
Ikulu: Rais Kikwete hataidhinisha mabilioni ya kiinua mgongo kipya cha wabunge!

Ikulu: Rais Kikwete hataidhinisha mabilioni ya kiinua mgongo kipya cha wabunge!

  Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu alisema jana kuwa Rais Kikwete hajapokea maombi hayo huku akipinga maelezo kuwa Serikali ilishayakubali. Gazeti dada la The Citizen wiki iliyopita, lilimkariri Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akisema Serikali ilikuwa imepitisha kupandishwa kwa kiwango cha kiinua mgongo kutoka Sh43 milioni hadi Sh160 milioni

Share
Read more
Huge leak suggests Samsung’s Galaxy S5 will outclass the iPhone 6

Huge leak suggests Samsung’s Galaxy S5 will outclass the iPhone 6

  There are two strings of smartphone launches this year that are obviously the most highly anticipated of 2014. The first comes from Apple, which is expected to launch an iPhone 6 with a larger display as well as a phablet-sized iPhone. Perhaps just as eagerly anticipated, however, is Samsung’s

Share
Read more
New Video : Prodigy & The Alchemist – IMDKV

New Video : Prodigy & The Alchemist – IMDKV

  If you haven’t heard about Prodigy before may be you are too young or not a Hip Hop fan. Prodigy is a member of arguably the best due out of New York city “Mobb Deep” who been in the games over 10 years. Lately, the group haven’t been working

Share
Read more
Zimbwabwe’s Designer Nominated for Top UK Award

Zimbwabwe’s Designer Nominated for Top UK Award

  United Kingdom-based Zimbabwean fashion designer Pamela Samasuwo-Nyawiri has been nominated the first African for the Vogue and Muuse Talents Young Vision Accessories Award for “The Best Emerging International Fashion Accessories Designer”. She has done concept research for brands like Paul Smith and designed a range of accessories for them,

Share
Read more
Wakazi – ControlVER​SE (Control Freestye) Audio/Vide​o

Wakazi – ControlVER​SE (Control Freestye) Audio/Vide​o

  Wakazi is about to change the Hip Hop game in Tanzania and Africa in general.  As he promised, today he released his hardcore, bar-to-bar knockout banger to all “Mc’s” that doubt him called Control verse. Remember Kendrick Lamar’s control verse? Well, Wakazi went step ahead, he didn’t just rap

Share
Read more